Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
The Political Parties Council (PPC) has issued a resolute call for political leaders and parties to prioritise peace, stability and ethical practices, as Tanzania prepares for the October 2025 General Elections.
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ametoa pongezi kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kudumisha Demokrasia nchini.
Jaji Francis Mutungi anasikitika kutangaza kifo cha Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu John Bill Tendwa
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imepongezwa kwa namna ambavyo imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Vyama vya Siasa vinajiendesha kama taasisi na kwa kuzingatia sheria na taraatibu za kidemokrasia.
Baraza la Vyama vya Siasa limeafiki kutoa pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameendelea kuimarisha Demokrasia nchini kwa kuboresha Baraza la Vyama vya Siasa nchini.
Watumishi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa watakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vifaa vya TEHAMA na kuwa makini wanapokuwa katika mitandao ya kijamii ili kuhakikisha wanalinda unyeti wa ofisi hiyo.
Rais Samia amekipongeza Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini kwa kazi nzuri walioifanya ya kuchambua maoni ya wadau kwa kipindi cha miezi 10.
Jaji Mutungi Atuma Salamu Msiba wa Mrema