• English
  • Staff Mail
  • Maswali
  • Wasiliana Nasi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Tanzania Census 2022
  • Kuhusu sisi
    • Mamlaka
    • Dira
    • Majukumu
    • Muundo
    • Uongozi
    • Historia
  • Shughuli za Ofisi
    • Usajili wa Vyama
    • Uratibu wa Vyama
    • Ufuatiliaji wa Vyama
    • Gharama za Uchaguzi
    • Ruzuku ya Vyama
    • Utatuzi wa Migogoro
    • Taarifa za Vyama vya Siasa
  • Vyama vya Siasa
    • Usajili wa Kudumu
    • Usajili wa Muda
    • Orodha ya Vyama Vya Siasa
    • Baraza la Vyama
  • Sheria na Machapisho
    • Katiba
    • Sera
    • Sheria
    • Kanuni
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu EE
    • Fomu PP
    • Fomu za Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
  • Matangazo
    • Mikutano
    • Warsha
    • Nafasi za kazi
    • Zabuni
  • Ziara
    • Taratibu za Ziara
    • Fomu ya Maombi
    • Utimilifu na Makatazo
    • Maoni ya Watembeleaji

Habari

Wadau Waalikwa Kutoa Maoni Yatakayofanyiwa Kazi na Kikosi Kazi cha Mhe. Rais Kuhusu Masuala ya Demokrasia Nchini

Wadau Waalikwa Kutoa Maoni Yatakayofanyiwa Kazi na Kikosi Kazi cha Mhe. Rais Kuhusu Masuala ya Demokrasia Nchini

Vyama vya Siasa Kuendeleza Ushirikiano na Serikali, Vyawapongeza Rais Samia, Dkt. Mwinyi

Vyama vya Siasa nchini vya ahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambazo zinaongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussen Ally Mwinyi, mtawalia.

Serikali Yatoa Onyo kwa Vyama vya Siasa Vitakavyoshirikiana Kinyemela Wakati wa Kampeni

Vyama vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha Sheria hiyo vitakuwa vimevunja sheria.

WANASIASA WAACHE PROPAGANDA, WAUSOME VIZURI MUSWADA

Serikali inawaonya Wanasiasa kuacha propaganda za kupindisha ukweli na kutoa tafsiri potofu kuhusu Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2018 kwa lengo la kuuhadaa umma kukataa muswada bali watumie fursa hii baada ya kuusoma , kutoa maoni yao stahiki kwa lengo la kuuboresha

KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA CHA TAREHE 21 NA 22 DESEMBA, 2018 KIMEAHIRISHWA

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe. Jaji Francis S.K Mutungi anawataarifu wajumbe wote wa Baraza la Vyama vya Siasa kuwa kikao cha Baraza la Vyama vya siasa kilichokuwa kimepangwa kufanyika tarehe 21 na 22 Desemba, 2018 mjini Zanzibar, kimeahirishwa.

KAMATI YA UONGOZI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA YAKUTANA

Kikao cha Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa kimefanyika leo Disemba 4, 2018 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kinachotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.

SUALA LA KUSIMAMIA VYAMA VYA SIASA LINAHITAJI UAMINIFU NA UADILIFU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Utumishi wa Umma na Utawala Bora kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Haruna Suleman amesema kuwa Suala la kusimamia vyama vya siasa nchini linahitaji umakini na usimamizi wa hali ya juu ikiwa ni njia bora ya kukuza democrasia na utawala bora nchini.

SERIKALI YAONYA WATUMISHI WAKE KUTOKUSHABIKIA VYAMA VYA SIASA.

Maafisa wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wanaojiandaa kushiriki katika uangalizi wa kampeni za uchaguzi unaotegemea kufanyika Decemba 2 mwaka huu, wameaswa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa Sheria ili kujikita katika kuhudumia Vyama vyote kwa usawa.

  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • ›

Habari

  • Wadau Waalikwa Kutoa Maoni Yatakayofanyiwa Kazi na Kikosi Kazi cha Mhe. Rais Kuhusu Masuala ya Demokrasia Nchini
    tokea miezi 2
  • Vyama vya Siasa Kuendeleza Ushirikiano na Serikali, Vyawapongeza Rais Samia, Dkt. Mwinyi
    tokea mwaka 1
  • Serikali Yatoa Onyo kwa Vyama vya Siasa Vitakavyoshirikiana Kinyemela Wakati wa Kampeni
    tokea miaka 2
  • WANASIASA WAACHE PROPAGANDA, WAUSOME VIZURI MUSWADA
    tokea miaka 3

Nifanyaje...

  • Kusajili Chama cha Siasa?

Machapisho

  • Awamu ya Pili ya Ukusanyaji wa Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa
  • Ratiba ya ukusanyaji wa Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa
  • Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapo kamilika.
  • KUKARIBISHA MAONI YA KUFANYIWA KAZI NA KIKOSI KAZI CHA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  • Kikosi Kazi cha Kupitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi

Wasiliana Nasi

  • S.L.P : S.L.P 2851 Dodoma
  • Simu : +255 26 23322500
  • Nukushi : +255 26 2323525
  • Barua Pepe : info@orpp.go.tz
  • Website :https://www.orpp.go.tz

Kurasa za Karibu

  • eOffice
  • Video Mpya
  • Staff Mail
  • Huduma Zetu
  • Vyama Vya Siasa

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Tume ya Uchaguzi

Mitandao ya Kijamii

© 2017 Office of Registrar of Political Parties - All Rights Reserved

  • Ramani Ya Tovuti
  • Sera YA Faragha
  • Angalizo