Ufuatiliaji wa vyama vya siasa
Ofisi inafuatilia mienendo ya Vyama vya Siasa kuhakikisha kuwa vyama vya siasa vinatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Sheria ya Gharama za Uchaguzi na Sheria za Nchi.
Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ndio yenye jukumu la ufuatiliaji wa mienendo ya Vyama vya siasa kutokana na kuwa na mamlaka ya kisheria ya kusajili na kufuta vyama vya Siasa.