Historia
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilianzishwa mnamo mwaka 1992, kwa Sheria ya Vyama vya Siasa namba 5 ya mwaka 1992. Pamoja na kusajili vyama vya siasa, kugawa ruzuku ya serikali kwa vyama vya siasa, kufuatilia mapato na matumizi ya vyama na vya siasa, Mwaka 2010, Ofisi ya Msajili ilipewa kazi ya kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi Na. 6 ya mwaka 2010.