Rais Samia amekipongeza Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini kwa kazi nzuri walioifanya ya kuchambua maoni ya wadau kwa kipindi cha miezi 10. Soma zaidi..
Karibu kwenye tovuti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa . Kupitia tovuti hii, utapata taarifa za uhakika juu ya shughuli za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na taarifa za uhakika juu ya Vyama vya Siasa.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imejikita katika usimamizi wa Sheria ya Vyama vya Siasa Na 5 ya mwaka 1992 na Sheria ya Gharama za uchaguzi ya mwaka 2010 ili kuhakikisha uwepo na ukuaji wa demokrasia ya vyama vingi nchini.
Rais Samia amekipongeza Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini kwa kazi nzuri walioifanya ya kuchambua maoni ya wadau kwa kipindi cha miezi 10. Soma zaidi..
Jaji Mutungi Atuma Salamu Msiba wa Mrema Soma zaidi..
Wadau Waalikwa Kutoa Maoni Yatakayofanyiwa Kazi na Kikosi Kazi cha Mhe. Rais Kuhusu Masuala ya Demokrasia Nchini Soma zaidi..
Vyama vya Siasa nchini vya ahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambazo zinaongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussen Ally Mwinyi, mtawalia. Soma zaidi..