Dhima
Kukuza demokrasia ya vyama vingi na kudumisha utulivu wa kisiasa nchini, kupitia kuwa na vyama vya siasa imara na vya kidemokrasia na ufuatiliaji sahihi wa shughuli za vyama vya siasa.