Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa vyama vya siasa wajitahidi kuwa makini na namna wanavyoendesha vyama vyao kwasababu wananchi wanaowaongoza ni wa vyama vyote.
Vyama vya siasa nchini vimetakiwa kufuata sheria na taratibu zilizowekwa katika kudai haki katika masuala mbalimbali nchini ili kujiondoa katika matatizo yanayoweza kujitokeza na kuhatarisha amani ya nchi.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imeishauri Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, kuchukua jitihada za kutosha kusuluhisha migogoro katika Chama cha Wananchi CUF ili kuepusha athari kubwa zinazoweza kujitokeza katika Muungano.
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mhe. Jaji Francis S. K Mutungi leo amefika nyumbani kwa kaka wa Marehemu Peter Kuga Mziray aliyefariki jana katika hospitali ya Rabininsia Tegeta Jijini Dar es Salaam, na kuwapa pole ndugu, jamaa na marafiki waliofika katika msiba huo.
Mkutano wa kawaida