Uongozi
Tangu kuanzishwa kwake 1992, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeongozwa na Wasajili na Manaibu Wasajili wafuatato ambao wametumikia kwa vipindi tofauti;
Wasajili wa Vyama vya Siasa
1.Mhe. Jaji George Bakari Liundi tangu1992 hadi 2001
2.Mhe. John Billy Tendwa tangu mwaka2001 hadi 2013
3.Mhe. Jaji Francis S. K Mutungi tangu mwaka 2013 hadi sasa
Manaibu Wasajili wa Vyama vya Siasa
1.Mhe. Abdulwahid Masoud Borafia tangu mwaka 1992 hadi 1993
2.Mhe.Rajabu Baraka Juma tangu 2004 hadi 2017
3.Mhe.Mohammed Ally Ahmed tangu 2018 hadi sasa