Mkutano wa dharura wa Baraza la Vyama vya Siasa
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Mhe. Juma Ali Khatibu kwa kushauriana na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wameitisha kikao cha dharura cha Baraza la Vyama vya Siasa