• English
  • Staff Mail
  • Maswali
  • Wasiliana Nasi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

  • Kuhusu sisi
    • Mamlaka
    • Dira
    • Majukumu
    • Muundo
    • Uongozi
    • Historia
  • Shughuli za Ofisi
    • Usajili wa Vyama
    • Uratibu wa Vyama
    • Ufuatiliaji wa Vyama
    • Gharama za Uchaguzi
    • Ruzuku ya Vyama
    • Utatuzi wa Migogoro
    • Taarifa za Vyama vya Siasa
  • Vyama vya Siasa
    • Usajili wa Kudumu
    • Usajili wa Muda
    • Orodha ya Vyama Vya Siasa
    • Baraza la Vyama
  • Sheria na Machapisho
    • Katiba
    • Sera
    • Sheria
    • Kanuni
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu EE
    • Fomu PP
    • Fomu za Fedha
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
  • Matangazo
    • Mikutano
    • Warsha
    • Nafasi za kazi
    • Zabuni
  • Ziara
    • Taratibu za Ziara
    • Fomu ya Maombi
    • Utimilifu na Makatazo
    • Maoni ya Watembeleaji

SERIKALI YAONYA WATUMISHI WAKE KUTOKUSHABIKIA VYAMA VYA SIASA.

Maafisa wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wanaojiandaa kushiriki katika uangalizi wa kampeni za uchaguzi unaotegemea kufanyika Decemba 2 mwaka huu, wameaswa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa Sheria ili kujikita katika kuhudumia Vyama vyote kwa usawa.

Hayo yamesemwa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Gharama za Uchaguzi na Misaada Bi. Piencia Kiure wakati akifungua mafunzo ya siku mbili juu ya Sheria za Gharama za Uchaguzi na Maadili ya Vyama vya Siasa kwa niaba ya Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe. Jaji Francis S. K Mutungi yanayoendelea kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jijini Dar es Salaam.

Akizungumzia kuhusu mafunzo hayo, mratibu wa mafunzo, Bi. Esther Mwanri amesema kuwa mafunzo hayo ni muendelezo wa mafunzo ambayo hutolewa na ofisi hiyo kwa maafisa ambao hushiriki katika uangalizi wa chaguzi za Madiwani, Wabunge na Urais yakiwa na lengo la kuwakumbusha washiriki taratibu na sheria mbalimbali zinzzozimamiwa na Ofisi ya msajili wa Vyama vya Siasa na zinazotakiwa kutekelezwa na wagombea na vyama vya siasa nyakati za chaguzi.

Bi. Mwanri amebainisha kuwa baadhi ya mada ambazo zimewasilishwa na zitakazowasilishwa ni pamoja na maana na lengo la Sheria ya Gharama za Uchaguzi, matendo yaliyokatazwa katika kampeni za uchaguzi, Fomu zinazohitajika kujazwa na wagombea na vyama vya siasa na namna ya kuzijaza. Elimu ya maadili ya vyama vya siasa, haki ya vyama vya siasa, wajibu wa Vyama vya Siasa na wajibu wa Msajili wa Vyama vya Siasa.

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ni taasisi iliyopo kwa mujibu wa kisheria ambayo ina wajibu wa kusimamia vyama vya siasa nchini ili viweze kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Gharama za Uchaguzi.

Habari

  • ZINGATIENI SHERIA, KATIBA NA KANUNI YA VYAMA VYENU - MUTUNGI.
    tokea mwezi 1
  • Political Parties Council Urges Ethical Campaigning, Applauds Government’s Gender Initiatives
    tokea miezi 3
  • Msajili Aipongeza CHADEMA kwa Kuonesha Ukomavu wa Demokrasia Nchini
    tokea miezi 5
  • Tanzia
    tokea miezi 6

Nifanyaje...

  • Kusajili Chama cha Siasa?

Machapisho

  • Taarifa kwa Umma Kuhusu Msimamo wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya CHADEMA
  • KANUNI ZA KURATIBU MIKUTANO YA HADHARA YA VYAMA VYA SIASA YA MWAKA 2023
  • KANUNI ZA KURATIBU MIKUTANO YA HADHARA YA VYAMA VYA SIASA YA MWAKA 2023
  • THE POLITICAL PARTIES AFFAIRS LAWS (AMENDMENT) ACT, 2024
  • ORODHA YA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA 2025

Wasiliana Nasi

  • S.L.P : S.L.P 2851 Dodoma
  • Simu : +255 26 23322500
  • Nukushi : +255 26 2323525
  • Barua Pepe : info@orpp.go.tz
  • Website :https://www.orpp.go.tz

Kurasa za Karibu

  • eOffice
  • Video Mpya
  • Staff Mail
  • Huduma Zetu
  • Vyama Vya Siasa

Tovuti Mashuhuri

  • e-Mrejesho
  • Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Bunge la Tanzania
  • Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Tume ya Uchaguzi

Mitandao ya Kijamii

© 2017 Office of Registrar of Political Parties - All Rights Reserved

  • Ramani Ya Tovuti
  • Sera YA Faragha
  • Angalizo