JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Uchaguzi Mdogo wa Ubunge na Madiwani wa Kata 12 za Tanzania Bara
01 Jun, 2026 07:00am - 16:00PM
Tanzania Bara
info@orpp.go.tz

Uchaguzi Mgodo wa Ubunge wa Jimbo la Isimani Mkoani Iringa na Udiwani wa Kata 12 katika baadhi ya Halmashauri za Tanzania Bara ambazo ni Kata ya Mizimuni Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Kata ya Zongomera Halmashauiri ya Manispaa ya Kahama, Kata ya Otilo Halmashauri ya Mjii Nzega, Katera Halmashauri ya Mji Tarime, Nyumbigwa Halmashauri ya Mji Kasulu, Kala Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, Ziba Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Kamsisi Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Nyamugali Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, Namasakata Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Bwongera Halmashauri ya Wilaya ya Chato na Kibiti Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti.

Uchaguzi Mdogo wa Ubunge na Madiwani wa Kata 12 za Tanzania Bara