JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Wanawake Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Mkoa wa Dodoma
Baadhi ya wanawake kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa katika maadhimisho ya siku Wanawake Duniani wakiwa Wilaya ya Kongwa mkoa wa Dododma jana tarehe 8 Machi 2025,ambapo kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni "Haki kwa Wanawake na Wasichana: Msingi wa Maendeleo Jumuishi Kufikia Dira 2050"