JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji(Mstaafu) Francis Mutungi akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja Mataifa katika Umoja wa Afrika(UNOAU) Bw. Parfait Onanga-Anyanga alipotembelea Ofisi za ORPP jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji(Mstaafu) Francis Mutungi akiwa katikamazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja Mataifa katika Umoja wa Afrika(UNOAU) Bw. Parfait Onanga-Anyanga alipotembelea Ofisi za Msajili zilizopo Mtaa wa Shaban Robert jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Machi, 2026.