Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Mstaafu Francis Mutungi akizungumza na wajumbe wa Kamati za Kisekta za Baraza la Vyama vya Siasa vilivyofanyika leo tarehe 16 Juni, 2026 katika Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro.
Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Mstaafu Francis Mutungi akizungumza na wajumbe wa Kamati za Kisekta za Baraza la Vyama vya Siasa vilivyofanyika leo tarehe 16 Juni, 2026 katika Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro. Baraza la Vyama vya Siasa linaendelea na vikao vyake kwa mudawa siku tatu kuanzia leo tarehe 16 hadi 18 Juni, 2026 ambapo limetanguliwa na vikao hivyo vya kamati za kisekta ambazo ni Kamati ya Uchaguzi, Kamati ya Maadili na Mahusiano, Kamati ya Sheria na Utawala Bora pamoja na Kamati ya Bunge na Siasa.