Wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa Wajengewa Uwezo Kuhusu Mahusiano na Serikali
Wanasiasa waombwa kuwa mabalozi wazuri wa mahusiano baina ya Serikali na makundi mbalimbali ya kijamii katika kuimarisha mshikamano, amani, haki,upendo na utulivu katika kuendeleza umoja wa kitaifa na ustawi wa jamii.