JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa wapewa Mafunzo kuhusu dhana ya Mahusiano Mjini Morogoro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha kwa wajumbe wa Baraza la Vyama vya Sias ana Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Siasa taifa wasiowajumbe wa baraza hilo iliyofanyika leo tarehe 17 Juni, 2026 katika ukumbi wa Nashera Hotel Mkoani Morogoro. Warsha hiyo inayohusu dhana ya mahusiano imeandaliwa na Idara ya Mahusiano kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.Kutoka kushoto katika picha ni Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mstaafu Mhe. Francis Mutungi, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasi, Mhe. Juma Ali Khatib, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Zuhura Yunus na mwisho kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.

slot gacor