JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Matukio Katika Picha Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa cha Tarehe 18 Juni, 2026 Nashera Hotel Morogoro
Baraza la Vyama vya Siasa lilikutana Mkoani Morogoro kwa siku tatu kuanzia tarehe 16 hadi 18 Juni 2026, kwa lengo la kufanya vikao vyake vya kisheria sambamba na warsha za kuwajengea uelewa kuhsu masuala ya dhana ya Mahusiano na Utunzaji wa Taarifa Binafsi Kidigitali ambapo vyama 18 kati ya vyama 19 vyenye usajili kamili vimeshiriki katika vikao vya baraza hilo. Vyama hivyo ni pamoja na CCM, CUF, ACT Wazalendo, NCCR -Mageuzi, TLP, AAFP,ADA TADEA,CHAUMMA, ADC, DP, MAKINI, NRA, SAU, UMD, NLD,CCK, UPDP na UDP.

slot gacor