JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe. Mohammed Ali Ahmed Atembelea Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya 50 ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam
Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu linawakilisha Ofisi ya Waziri Mkuu -Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI na Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano pamoja na taasisi zote zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu

slot gacor