Vyama vya Siasa Kuendeleza Ushirikiano na Serikali, Vyawapongeza Rais Samia, Dkt. Mwinyi

Na: Mwandishi Wetu ORPP
Vyama vya Siasa nchini vya ahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambazo zinaongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussen Ally Mwinyi, mtawalia.
Ahadi hiyo imetolewa juzi tarehe 20 Juni 2021 na Mwenyekiti