News

 • Shibuda Ataka Rais Magufuli Aungwe Mkono

  2017-01-29 16:51:13

  Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, John M. Shibuda amewataka wananchi kumuunga mkono Rais wa awamu ya tano Mhe. John Pombe Magufuli kwa sababu anatekeleza mnyumbuliko wa uwajibikaji wa utawala Bora. 

  Hayo yamesemwa leo wakati akitoa salamu za ujumbe maalum wa kumaliza salama mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017 mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es salaam

  Shibuda amesema uwajibikaji umechang [...]
  Read more

 • 2017-01-29 11:58:38

  Read more
 • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUTWA KWA USAJILI WA KUDUMU WA VYAMA VITATU VYA SIASA

  2016-11-09 13:00:42

  Nachukua fursa hii kuutaarifu umma wa watanzania kuwa, kwa mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 19 cha Sheria ya Vyama vya Siasa namba 5 ya mwaka 1992, nimefuta usajili wa kudumu wa vyama vya siasa vitatu vifuatavyo kuanzia leo 09 Novemba 2016:-

      1. Chama cha Haki na Ustawi (CHAUSTA) kilichopata usajili wa kudumu tarehe 15 Novemba 2001, ambacho kilikuwa kinaongozwa na Bwana James Mapalala kama Mwenyekiti wa Taifa na Bi Mwaka Lameck Mgimwa kama [...]
  Read more

 • Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa Kimeahirishwa

  2016-09-01 16:53:02

  Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa inapenda kuutaarifu umma wa watanzania kuwa, imeahirisha kikao maalumu cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichopangwa kufanyika Septemba 03 na 04, 2016 kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika, mpaka hapo tarehe nyingine itakapopangwa.

   

  Aidha, Baraza la Vyama vya Siasa linaendelea kuviasa Vyama vya Siasa na wadau wengine wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kuwa wastamilivu wakati Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama [...]
  Read more

 • Majadiliano huleta suluhu _ Jaji Mutungi

  2016-08-24 12:45:39

  Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Vyama vya Siasa amesema suluhu juu ya sintofahamu ya masuala ya vyama vya siasa inaweza kupatikana kwa kukaa pamoja na kujadiliana.

  Hayo ameyasema wakati akizungumza na waandishi wa habari leo katika Ofisi yake Jijini Dar es salaam.

  Akitoa wito kwa vyama vya siasa na wadau wa vyama vya siasa kukubali kukaa pamoja na kujadiliana katika kikao maalumu cha siku mbili cha Baraza la Vyama vya Siasa ambacho [...]
  Read more

 • Kamati Ya Uongozi Ya Baraza La Vyama Vya Siasa Yakutana

  2016-08-15 14:35:09

  Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa wamekutana leo Jijini Dar es Salaam kujadili hali ya Siasa nchini.

   

  Katika kikao hicho ambacho kilikuwa  cha dharura kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ,wajumbe wamekubaliana kwa pamoja kuwa, ipo haja ya kuitishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa  kujadili hali ya siasa nchini.

   

  Akizungumza wakati wa kikao hicho Bw. [...]
  Read more

 • Kufutwa Kwa Chama Cha CM Tanzania

  2016-08-15 14:33:49

  Msajili wa Vyama vya Siasa  nchini amekifuta katika orodha ya vyama vya siasa vyenye usajili wa muda Chama cha Maadili na Uwajibikaji        (CM-Tanzania) kutokana na kushindwa kutimiza masharti ya usajili. Chama cha CM-Tanzania kilipata usajili wa muda tarehe 4 Februari, 2016.

   

  Kwa mujibu wa kifungu cha 8(3) na (4) cha Sheria ya Vyama vya Sias [...]
  Read more

 • Kuahirishwa Kwa Zoezi La Uhakiki Wa Vyama Vya Siasa Kwa Upande Wa Zanzibar

  2016-07-08 17:20:58

  Ofisi ya Msajli wa Vyama vya Siasa inawataarifu wananchi wote kuwa, zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa kwa upande wa Zanzibar lililopangwa kuanza Julai 11-15 limeahirishwa hadi Julai 18-22 mwaka huu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake.

  Ofisi iinaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

  08 Julai, 2016

  Read more
 • Maboresho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ndio Mkombozi wa Siasa Nchini

  2016-04-15 09:00:30

   

  Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge na Sheria wamepewa rai ya kushikamana na Serikali katika kuhakikisha kuwa maboresho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka1992 na Sheria ya gharama za uchaguzi ya mwaka 2010 yanafanyika ili kuondoa utata na migongano ya utekelezaji wa masuala ya siasa nchini.

  Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi (ofisi ya Waziri Mkuu) Sera, Bunge, Kazi , Vijana, Aj [...]
  Read more

 • Msajili wa Vyama Vya Siasa Awataka Wakazi Visiwani Zanzibar Kudumisha Amani

  2016-03-22 15:23:57

  Wakazi wa  Unguja na Pemba wametakiwa kuienzi Amani iliyopo Visiwani Zanzibar kwa kuachana na kufanya vitendo vinavyoweza kuleta uvunjifu wa Amani visiwani humu.

   

  Rai hiyo imetolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambaye yuko visiwani humu akiwa na timu wa watu wanne kutoka ofisi yake  kwa ajili ya uangalizi wa uchaguzi wa marudio [...]
  Read more

 • Vyama Vya Siasa Vyaaswa Kushiriki Uchaguzi Zanzibar

  2016-01-27 14:52:13

  Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe.Jaji Francis Mutungi ameviasa Vyama vya Siasa kushiriki chaguzi zinazotangazwa na tume za uchaguzi nchini ikiwemo uchaguzi wa Machi 20, mwaka 2016 uliotangzwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).


  Kwa mujibu wa barua iliyotolewa  kwa vyama hivyo Januari 26 mwaka huu na kusainiwa na  Jaji Mutungi  ilieleza kwamba,  kimsingi Sheria ya Vyama Vya Siasa Sura ya 258 inasisitiza v [...]
  Read more

 • Vyama Vya Siasa Vya Siasa Vishindane kwa Hoja- Msajili wa Vyama vya Siasa

  2015-12-10 08:42:29

  Vyama vya Siasa Mkoani Mbeya vimeaswa kuendelea kufanya siasa za kistarabu kwa kushindana kwa hoja pamoja na kufuata sheria za nchi katika kutekeleza majukumu yake  ya kikatiba  .

  Hayo yamesemwa na Msajili wa Vyama vya siasa Nchini Mhe.Francis S.K Mutungi wakati wa kikao   na Vyama Vya Siasa Kanda ya Nyanda za juu Kusini kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa Ji [...]
  Read more

 • Chama Cha Tanzania Patriotic Front Chapata Usajili Wa Muda

  2015-11-10 08:55:25

  Chama kipya kinachojulikana Tanzania Patriotic Front (TPF MASHUJAA) kimepata usajili wa muda  jana Novemba 09, 2015 na hivyo kuongeza idadi ya vyama  vya siasa vyenye usajili wa muda kuwa vitatu nchini.

  Akikabidhi cheti cha usajili kwa mmoja wa Waanzilishi wa chama hicho Bw.Deonatus Mutani, Msajili wa vyama vya Siasa Nchini Mhe. Jaji Francis S.K Mutungi amekitaka chama hicho kuzingatia sheria ya Vyama vya siasa, katiba [...]
  Read more

 • Yaliyojiri Kikao Maalumu Cha Baraza La Vyama Vya Siasa Zanzibar

  2015-10-19 08:17:12

  Baraza la Vyama vya Siasa nchini limevishauri vyama vya siasa kuzungumza na kuwasihi wafuasi wao kutii sheria bila shuruti ili kuendeleza amani iliyopo nchini.

  Aidha Baraza hilo limeviomba Vyama kuwaeleza wafuasi na wapenzi wao kurudi majumbani na kuendelea na shughuli zao mara baada ya kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu kama ilivyokuwa kwa hatua za uandikishwaji.

  Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Peter Kuga Mziray wakatiOktobar 14,2015  a [...]
  Read more

 • Jaji Mutungi Asisitiza Amani

  2015-09-22 10:23:01

  Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mhe. Jaji Francis S.K Mutungi amesisitiza umuhimu wa wananchi kulinda Amani ya nchi ambayo imekuwepo kwa muda mrefu kwa kuepuka vitendo ambavyo vitaleta uvunjifu wa Amani. Aidha ameviasa vyama vya siasa  kuacha  jukumu la ulinzi na usalama wa raia mikononi wa Jeshi la Polisi ambalo limepewa jukumu hilo kwa mujibu wa sheria ya nchi.

  Hayo yamezungumzwa j [...]
  Read more

 • Msajili Wa Vyama Vya Siasa Nchini Aviasa Vyama Vya Siasa Kuheshimu Sheria Za Nchi Na Kufanya Siasa Za Kistaarabu

  2015-08-25 13:20:53

  Vyama vya siasa nchini vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu hasa katika kipindi hiki tunachoelekea kwenye kampeni na uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015 ili kuepusha vitendo vitakavyoashiria  uvunjifu wa Amani na kuepusha migongano na migogoro baina ya vyama  vya siasa  na wadau wengine wa uchaguzi.

   Hayo yamelekezwa na Mhe. Jaji Francis S.K Mutungi wakati akiviagiza vyama vya siasa Juni 20, 2015 kutoa maagizo kwa wanachama  na mashabiki wa vya [...]
  Read more

 
 
Follow Us: